Kupitia App Hii,utaweza kusoma na kutuma meseji za kimahaba bure kwa yule unayempenda bila kikwazo chochote.Unachotakiwa kufanya ni kudownload na kuanza kuitumia ,haina usumbufu katika kutumia.