AppKiwi - Download Mobile Apps on PC & Mac

Soka Letu App

About Soka Letu App
App ya Soka Letu inakuunganisha na habari motomoto kuhusu Ligi Kuu Tanzania na soka la ulaya kwa ujumla.

Kupitia App hii utakuwa wa kwanza kuhabarika na kuburudika na habari kedekede kuhusu mpira wa miguu,Afrika na Dunia kwa Ujumla

Bila kusahau,tazama live mahojiano na matukio ya kimichezo kupitia channeli pendwa za michezo nchini.
Recent Updates - Version 1.0
  • Sasa Kupitia Soka Letu App, utaweza kutazama video mbalimbali za kimichezo kutoka channeli zote maarufu, bila kusahau Azam TV, na Channel ya Simba TV na Yanga TV buree.
Install On Your Mobile Device:
Google Play Store LinkApp Store Link
Install On Windows PC Or Mac:
BlueStacks LinkLDPlayer Link
How To Download & Play:
1. Download & Install AppKiwi
2. Download Soka Letu App APK
3. Launch from APK Library