Soka Letu App
About Soka Letu App
Kupitia App hii utakuwa wa kwanza kuhabarika na kuburudika na habari kedekede kuhusu mpira wa miguu,Afrika na Dunia kwa Ujumla
Bila kusahau,tazama live mahojiano na matukio ya kimichezo kupitia channeli pendwa za michezo nchini.
Recent Updates - Version 1.0
- Sasa Kupitia Soka Letu App, utaweza kutazama video mbalimbali za kimichezo kutoka channeli zote maarufu, bila kusahau Azam TV, na Channel ya Simba TV na Yanga TV buree.